iqna

IQNA

Kauli ya Abbas Salimi kuhusu mkutano na kiongozi wa Hizbullah
IQNA-Mtumishi mkongwe wa Qur’ani Tukufu nchini Iran anaamini kuwa Shahidi Sayyid Hasan Nasrallah alikuwa mfano wa wazi muumini wa Mwenyezi Mungu, kamanda shupavu, muumini wa Qur'ani na mtumishi wa Qur'ani, ambaye alistahiki kuuawa kishahidi.
Habari ID: 3479547    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/06

TEHRAN (IQNA) – Klipu fupi ya video ya qiraa ya qarii mkongowe wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran imesambazwa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3472966    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/15